UASI KATIKA MAKAO YA ROHO
UASI KATIKA MAKAO YA ROHO
Tarehe
4/5/2017 hadi 6/5/2017
Uasi nikitendo chakwenda kinyume na taratibu kanuni nasheriazilizo wekwa
na mamulaka husika {USALTI}. Watu wa Rohoni ambao Mungu aliwaumba {Maraika}
walikuwa Wema. Maraika mmoja akageuka akawambaya saana, Yeye ndiye shetani
Ibilisi audanganyae ulimwengu. Shetani alitaka watu waduniani wamwadudu yeye
badala ya MUNGU hivindivyo ilivyo tukia katikanyakati hizo.
Katika Maisha sikuzote mtu mwasi nirafiki wa Uongopia mfano, Mwanzo 2:9, 16 na 17 Sikumoja Hawa Nyoka
hawa alikuwa peke yake wakati nyoka alipo semanaye , Bilashaka hakuwa
nyokatunaye mfahamu ila Shetani alimuingilia nyoka akajifunua kwake akanena
maneno ya uongo kama ilivyo hivisasa rafikiyako anaweza kukushawishi
kumsengenya mtumwingine au hata kutoa maisha yake ya mtuhuyo. Hayo yote uonayo
ndugu jamaa au rafiki yako unaona anakwenda kinyume na mpango wa sheria zamungu
{Amrikumi za mungu} Ujue ndaniyake kuna begu ya uharibifu ya Mwovu yule ibilisi.
Taarifa zote mbializo alizitoa shetani kwa Hawa zote zilikuwa za uongo
mtupu, Kutokana na hadithi hii ya kweli twajifunza kuwa shetani ni mwasi na
mwongo tangu Mwanzo. Hatahivyo yeye yuko Hai
nahuendeleza kupoteza binadamu
kuzivunja sharia za Mungu.
{Ufunuo
wa Yohana12:7-12}, Tafsiri ya neno MIKAELI maanayake ni MUNGU mwenyewe
rejea YUDA1:9 na Danieli12:1 na
katika vitabu vingine tunaona Maraika Mikaeli akitajwa kwajina la jemedari
wavita sawa kwatafsiri ya kibinadamu unaweza kusema kuwa ni Amiri mkuu
wamajeshi yote ya ulinzi. Baadaye maraika wengine waligeuka wakawa wabaya.
MARAIKA WENGINE WALIO ASI NA SHETANI
DHAMBI YA UZINZI YA INGIA DUNIA KUPITIA MARAIKA WAOVU NA MUUNGU AAMUA
KUIFUTILIA MBALI DUNIA
Maraika wengine waligeuka wakawa wabaya sana baada ya vitakuu kule
mbinguni. Maandiko matakatifu yanatwambia maraika hao waovu waliwa shuka toka
mbinguni wakajitwalia wanawake walio wachagua wakawa na mahusiano ya kingono wakazaanao,
huo haukuwa mpango wa mungu, Watoto waliozaliwa kwa maraika waovu hao walikuwa
{MAJITU} Wakatili dunia ikaharibika Uzinzi ukashamiri mauaji yakila namna ,
kila alilo liwaza mwanadamu likawa ovu dunia ikahalibika. Mwanzo 6:1-2. Biblia hutamukabayana kuwa ilitokea taabu kubwamno
kwa aina ya binadamu hao waliozaliwa na malaika waovu hao kwani hakuwa
watotowakawaida walikuwa wakawa Majitu
hatimaye dunia ikajawa najeuri, ukatili na ufisadi wakila namna.Mwanzo 6: 4 na11 na Mwanzo 7:23-24.
Baada ya uovu kufika usoni pa Bwana, MUNGUakaamua kutoa adhabukari kwakila
kiumbe chenye uhai kwa gharika kuu ya maji iliyo dumu kwa miezi 5 sawa nasiku
miamoja nahamusini.
Hatahivyo Maraika waovu walipoona mungu katoa adhabu ya gharika kwa
wanadamu , Maraika hao wali ruka wakarudi Mbinguni katika makao ya roho baada
ya kuwasha moto mkubwa dunia. Baada ya kurudi mungu hakuwaruhusu kukaa katika
familia ya Maraika watakatifu bali aliwavua miili ya kibinadamu wasirudi
duniani tena kuudanganya ulimwengu.
Yuda 6:6 na 2petro2:4.
Ndugu mpendwa msikilizaji na msomaji wa Makala haya imetupasa maisha
yetu tumkabidhi Mwokozi ili ayatawale yeye maana pekeyetu hatuwezi,
majaribunimengi ila tunanafasi ya kumuomba mungu atuepushie balaa na mikosi ya
mwovu yule ibilisi. Shetani nimwongo na mwovu tangu mwanzo hivyo hakuwahi
kushinda kamwe tutamshinda kwadamu ya mwana kondoo iliyo mwagika pale msalabani
kwaajili yetu.
MUNGU AWALINDE WOTE AMINA
Imeandaliwa na Mwalimu; John Damiano
Sim namba: +255768763701
+255622180360
Comments
Post a Comment