Posts

Showing posts from May, 2017

UASI KATIKA MAKAO YA ROHO

                   UASI KATIKA MAKAO YA ROHO                                      Tarehe 4/5/2017 hadi 6/5/2017 Uasi nikitendo chakwenda kinyume na taratibu kanuni nasheriazilizo wekwa na mamulaka husika {USALTI}. Watu wa Rohoni ambao Mungu aliwaumba {Maraika} walikuwa Wema. Maraika mmoja akageuka akawambaya saana, Yeye ndiye shetani Ibilisi audanganyae ulimwengu. Shetani alitaka watu waduniani wamwadudu yeye badala ya MUNGU hivindivyo ilivyo tukia katikanyakati hizo. Katika Maisha sikuzote mtu mwasi nirafiki wa Uongopia mfano, Mwanzo 2:9, 16 na 17 Sikumoja Hawa Nyoka hawa alikuwa peke yake wakati nyoka alipo semanaye , Bilashaka hakuwa nyokatunaye mfahamu ila Shetani alimuingilia nyoka akajifunua kwake akanena maneno ya uongo kama ilivyo hivisasa rafikiya...